DAVIDO KUTUMBUIZA TAMASHA LA MADE IN AMERICA


Staa wa Muziki toka nchini Nigeria, Davido ataipeperusha bendera ya Afrika pale ambapo atatumbuiza Jukwaa moja na wakali wa Marekani kwenye Tamasha kubwa la 'Made In America' mjini Philladelphia.

OBO Master @davidoofficial atasimama na Nicki Minaj, Post Malone, Meek Mill, Fat Joe, Miguel, Janelle Monae, Rich The Kid na wengine kibao - SWIPE

Tamasha hilo limepangwa kufanyika September 1 - 2 mwaka huu. Kama Unakumbuka, mwaka jana bara la Afrika liliwakilishwa na Wizkid, Tiwa Savage na Maleek Berry.
CHANZO
#InfoHDNews


Post a Comment
Powered by Blogger.