TAARIFA YA UHALALI WA KAMPUNI YA AIRTEL YATUA KWA RAIS MAGUFULIWaziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango leo, amewasilisha taarifa ya Kamati aliyoiunda kuchunguza umiliki wa kampuni ya Airtel kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

Post a Comment
Powered by Blogger.