RAIS WA TANZANIA JOHN MAGUFULI AMEPIGA MARUFUKU AINA ZOTE ZA MICHANGO

Rais wa Tanzania John Magufuli amepiga marufuku aina zote za michango shule za Msingi na Sekondari za Serikali, amewaagiza Mawaziri Prof. Joyce Ndalichako na Selemani Jafo kusimamia agizo hilo.
Post a Comment
Powered by Blogger.