PONGEZI KWA MSANII IZO BUSINESS

Mwaka jana bwana ulikuwa ni mwaka ulioachakumbukumbu kwa mskaji wetu Izo bizness kwani aliweza kuwajengea wazee wake nyumba baada ya kuishi katika nyumba za kupanga kwa zaidi ya miaka 30 kitu ambacho kilimtia hasira Izo nakuamua kuwajengea nyumba,Sasa kila mtu anafahamu kwamba Izo mbali na muziki alikuwa anajihusisha na biashara ile ya Internet café ambayo baadae ilikuja kubuma baada ya wezi kuiba baadhi ya mali zake ambazo alikuwa nazo humo ndani.seetheafricalink inamtafuta izo kujua nini kinaendelea .
Post a Comment
Powered by Blogger.