NIGERIA :KALI YA MWAKA RAFIKI AMTAFUTIA MUME RAFIKI YAKE BAADA YA KUTOPATA MUME WA KUMUOA

Dada mmoja huko nchini Nigeria ametoa kali ya mwaka kwenye mitandao ya kijamii baada yakuamemua kumsaidia rafiki yake wa kike kumtafutia mume baada ya huyo rafiki yake kukaa muda mrefu pasipokuwa na mume,kwahiyo ndani ya mwaka huu amedhamiria kumsaidia rafiki yake na amepost picha ya huyo rafiki yake binti Fulani hivi mrembo amejivalia zake ushungi mwenyewe hana time,na kama unamuhitaji unaweza kumcheki huyo mrembo.
Post a Comment
Powered by Blogger.