MEXICO :MADAKTARI WAMEMZUIA MWANAUME KUSHIRIKI TENDO LA NDOA

Madktari kutoka mexico wamemzuia jamaa mmoja raia wa Mexico kutofanya mapenzi na mwanamke yeyote kutokana na kuwa na uume mrefu sana kiasi ambacho kinaweza kuhatarisha usalama wa mwanamke ambae atafanya nae mapenzi,Jamaa uume wake unadaiwa kufikia hadi urefu wan chi 6 na madaktari wanasema  jamaa ndio anaweza kuwa binadamu wa jinsia ya kiume kuwa na uume mrefu kuliko wanaume wote duniani,Lakini Madakatari wanasema huo ni ugonjwa na wapo katika harakati za kumtibu ili aweze kurejea katika hali yake ya kawaida mshakaji anaitwa Robert Cabrera ana umri wa miaka 47.
Post a Comment
Powered by Blogger.