Leo Ni Kumbukumbu Ya Kuzaliwa Rappa Nicki Minaj


Disemba 8/1982 Pande za Trinidad alizaliwa kama Onika Tanya Maraj, Mwanamuziki,Mwandishi,Rappa na Muigizaji ambae nyota yake ilianza kung'aa baaada ya kuachia mixtape 3 mfululizo kati ya miaka ya 2007/2009 kisha kusainiwa na Young Money Entertainment (2009) na hapo ndipo jina la Nicki Minaj likachukua nafasi yake duniani kote.

Leo Disemba 8/2017 Nicki Minaj anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na kutimiza umri wa miaka 35.

Ngoma gani unaikubali kutoka kwa Nicki Minaj mpaka sasa?

 
Post a Comment
Powered by Blogger.