Walichokisema Wema Sepetu, Dr. Cheni, Aunty Ezekiel, Diamond, Mboni Na Kifesi Baada Ya Hukumu Ya Lulu..

 Mahakama Kuu Ya Tanzania Leo Novemba 13 imemhukumu Muigizaji Lulu kifungo cha miaka 2 jela baada ya kumkuta na hatia ya kumuua bila kukusudia Muigizaji mwenzake Steven Charles Kanumba aliyekufa April 7,2012.

Taarifa za hukumu hiyo zimesambaa kwa haraka mitandaoni na kupokelewa kwa mitazamo tofauti,.

Hapa nimekusogezea badhi ya waliyoyaandika Watanzania wachache baada ya hukumu hiyo kutolewa.
A post shared by Wema Sepetu (@wemasepetu) on

A post shared by AUNTYEZEKIEL (@auntyezekiel) on


A post shared by The Mboni Show (@thembonishow) on
Post a Comment
Powered by Blogger.