@VanessaMdee Ametangaza Dili Na Ma-DJ Na Watangazaji Wa Bongo

Bongoflava Diva Vanessa Mdee A.K.A VeeMoney ametumia ukurasa wake wa Instagram kutangaza mchongo kwa watangazaji na Ma-dj wanaohitaji Jingle yenye sauti yake kwa kipindi hiki ambacho ngoma yake mpya Bounce  aliyowashirikisha Tommy Flavour na Maua Sama ikiwa inaendelea kufanya poa.

Kwa DJ/Mtangazaji yeyote atakayehitaji special drop/jingle msimu huu wa #Bounce , nicheki. Email ipo kwenye bio pamoja na video #Bounce πŸ’œ πŸ“Έ by @iam_bennydaud
Glasses from @fatma8five 🀾🏾‍♀️😘 Ameandika Vanessa Mdee.


VANESSA MDEE na JUX kweli wamerudiana? Majibu yote yapo hapa:

Post a Comment
Powered by Blogger.