V ideo |Moto Ulivyozuka Ofisi Za CloudsFM Mikocheni


Jeshi la zima moto limefika katika jengo la kituo cha habari cha Clouds Media Group jijini Dar es salaam na kuudhibiti moto uliozuka katika mojawapo ya vyumba vya kurushia matangazo ya televisheni.

Sebastian Maganga, mkuu wa maaudhui na uzalishaji wa Clouds Media Group, amesema kwamba, "moto umetokea kati ya saa tatu asubuhi hadi saa nne , athari saizi ni vigumu kuzijua. Eneo ambalo limeungua ni chumba cha kurushia matangazo ya televisheni.

 
Post a Comment
Powered by Blogger.