Taifa la Zimbabwe latangaza rasmi kuwa February 21 itakuwa siku maalum ya mapumziko.

Taifa la Zimbabwe latangaza rasmi kuwa February 21 itakuwa siku maalum ya mapumziko.

Siku hiyo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo bwana Robert Mugabe.

Hii inakuja baada ya tukio kubwa la kihistoria la kujiuzulu kwake nafasi ya Urais aliyoitumikia kwa miaka 37.
Post a Comment
Powered by Blogger.