Sonia: Wasanii Maprodyuza Wamechangia Kuharibu Soko La Bongo Movie - Serikali Iingilie Kati


Farida Sabu AKA Sonia Ni Muigizaji Wa Muda Mrefu Kunako Kiwanda Cha Filamu Za Tanzania. Kwenye Mahojiano Yaake Na #SEETHEAFRICANTV Sonia amefungukia mambo mengi ikiwemo kuyumba kwa soko la Filamu huku akiwatupia lawama mastaa waigizaji ambao waliamua kufanya kazi ya uaandaaji na usambazaji wa Filamu akiwatuhumu kuriharibu soko la Bongo Movie.
Kilio chake ni kuitaka Serikali iingilie kati jambo hilo ili soko liwe kama zamani.


Post a Comment
Powered by Blogger.