Picha: Vile @NavyKenzo Wanajipanga Kumpokea Mtoto Wao WaKwanza

Above InnaMinutewasanii Aika na Nahreel wanatarajia kujipatia mtoto wao wa kwanza. Heatmakers hao wa  "Kamatia"waliamua kuwashangaza mashabiki wao kwa kuziachia picha zilizothibitisha taarifa hizo.Navykzenzo ni moja ya zile couple zenye ushawishi East Afrika, Kitendo cha wawili kufurahia kujiandaakumpokea mtoto wao kwanza ni chakuvutia na kimependezwa na watu wengi kutokana na post mbalimbali za mashabiki na mastaa mitandaoni
Powered by Blogger.