Picha | Aliyelipwa Kuwazalia Kanye Na Kim Ameonekana Akijiachia California

Kim Kardashian na Kanye West wanatarajia kumpokea mtoto wao wa 3 kwa njia ya upandikizaji kwa mwanamke ambae wamemlipa kiasi cha dola 100k kila mwezi kwa miez, Taarifa za kutoweka kwa mwana,ke huyo zilisambaa mitandaoni wiki iliyopita.

Baada ya ukimya wa muda hatimaye mama huyo ameonekana mitaa ya California akijiachia peke yake na tumbo lake lenye dalili zote za kuonyesha muda wowote familia ya The West itabarikiwa na kuongezwa mtoto mwingine wa kike.

Cheki Picha Hizi: Post a Comment
Powered by Blogger.