Kelvin Hart Na Mkewe Eniko Parrish Wamepata Mtoto Wa Kiume Kenzo Kash

Mchekeshaji Kelvin Hart na mke wake Eniko Parrish wamempokea mtoto wao wa kwanza Kenzo Kash jumanne hii.


“God is truly amazing….Kenzo Kash Hart was born at 1:45am,” Kelvin Hart ameandika kwenye twitter yake.  “He is Healthy & already smiling. Thank you all for your prayers!!!! We love & appreciate ya #Harts.”

Wakati Kenzo anakua mtoto wa kwanza ndani ya ndoa hiyo, Kelvin Hart tayari anao watoto wengine wawili Hendrix na Heaven aliowapata kwa mke wake wa zamani Torei Hart.Moto Ulivyowaka CloudsFM Mikocheni
 
Post a Comment
Powered by Blogger.