Jay-Z asimama na Meek Mill

Jay-Z asimama na Meek Mill.. ni kwenye hukumu yake ya miaka miwili jela.

Rapa #JayZ anasema, uamuzi wa Mahakama haukuwa wa haki, hivyo kwa pamoja atasimama kumpigania #MeekMill mpaka arudi kuendelea na maisha yake ya muziki.

Hukumu hiyo inalaumiwa na watu wengi huku wakisema, Jaji alikuwa tayari amefuta mashtaka mawili yaliyokuwa yanamkabili Meek, lakini ametumia tena mashtaka hayo kumhukumu miaka miwili jela.
Powered by Blogger.