Sahau Kuhusu Diddy, Love Au Brother Love Ndio Anachukua Nafasi Yake

Kupitia kazi zake Sean Combs amejikuta akitumia majina mengi ambayo amekua akiyatangaza kwa hiari yake mwenyewe.

Kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita tumekua tukimfahamu rappa huyo kama Diddy Diddy-Dirty Money (akiunganisha na kundi lake) jina lililopatikana kwenye Jina P.Diddy ambalo pia liliibuka kutoka jina "Puff Daddy" lililomtambulisha kwenye Game

Akisherehekea siku yake ya kuzaliwa Novemba 4 rappa huyo anayeipamba list ya Forbes kama mwanamuziki mwenye mkwanja mrefu zaidi ametangaza kubadili jina lake na rasmi ataanza kutambulika kama Love AKA Brother Love,

"I Know it's risky because it could come off as corny to some people" Alisema " I'll not be ansering to Puffy,Diddy, Puff Daddy, or any of my other monikers"

Akielezea zaidi juu ya kubadili jina kwa mara nyingine Diddy amesema "I'm just not who I'm before. I'm something Different." Angalia Hii Clip Hapa Chini:Powered by Blogger.