Chris Brown - Other Niggas

Kutoka kwenye Albamu yake "HeartBreak On A Fullmoon" yenye jumla ya ngoma 45 ni Chris Brown kwenye "Other Niggas" ngoma ya RnB/Soul ambayo amemuimbia mrembo walietengana kisha mrembo huyo kuanzisha mahusiano mapya yanayomtesa kiasi cha kuumiza Brezzy pia.DOWNLOAD AUDIO


 
Post a Comment
Powered by Blogger.