Camila Cabello, Daddy Yankee - Havana (Remix - Audio)
Yes, Ni babygirl Camila Cabelo kwenye "Havana" remix na Daddy Yankee anaechukua nafasi ya Young Thug aliyesikika kwenye Original Version ya ngoma hiyo ambayo iliachiwa Agosti 3 mwaka huu.Camila ni miongoni wasichana 5 waliokuwa wakiunda kundi la Fifth Harmony kabla ya kujitoa rasmi kwenye kundi hilo mwishoni mwaka mwaka 2016.

Tangu kujitoa kwake kundini, Camila ameendelea kusogea kwa ngoma kama Crying In The Club, I Have Questions na OMG aliyomshirikisha Quavo wa MIGOS, Ngoma ya Camila inayoonekana kusogea zaidi ni Havana aliyomshirikisha rappa Younh Thug.

Post a Comment
Powered by Blogger.