Barua Ya Wakili Lawrence Masha Kujivua Uanachama CHADEMA


Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Waziri wa Mambo Ya Ndani kwenye Serikali ya awamu ya 4 Mwanasheria Lawrence Kego Masha, ameutangazia Umma kujivua nafasi ya uanachama kwenye Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kwa kile alichokitaja kuwa chama hicho kimekosa sera ya kuing'oa CCM Madarakani.


Post a Comment
Powered by Blogger.