Baada ya kuondoka na Tuzo mbili Davido Aja Kihivi

Baada ya kuondoka na Tuzo mbili kwenye usiku wa MTV EMA jana jijini London, Davido amedokeza kuhusu ujio wa albam yake.


Akijibu kwa comment kwenye post moja ya mshkaji wake hapa Instagram, Nyota huyo wa muziki Afrika aliandika,
"Wait till they hear the ALBUM!!"
-
Huenda Hit singles za mwaka 2017 (IF, FALL, PERE na FIA) zikajumuishwa ndani ya album hiyo.

#Davido tayari ana studio album mbili: "Omo Baba Olowo" ya mwaka 2012 na "The Baddest" ya mwaka 2015.


Davido pia amewahi kutoa EP (Extended Play): "Son of Mercy" mwaka 2016.
Post a Comment
Powered by Blogger.