ASLAY KUIRUDISHA YAMOTO BAND

Muimbaji nyota kwa sasa wa Bongo Fleva, Aslay ametoa ahadi ya kuirudisha YAMOTO BAND

Kupitia Jukwaa la Fiesta mwaka 2017 Jumamosi November 25, Aslay aliwapandisha Beka Flavour na Enock Bella, ambapo alisikika akisema tutarajie ujio mpya wa kundi hilo la muziki bongo.

Swali linabaki kwa Maromboso ambaye tayari anafanya kazi na na lebo ya WCB, Je atajiunga nao tena?
Post a Comment
Powered by Blogger.