Alichokisema Lowassa Kuhusu Matukio Ya Uhamaji Vyama


Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa Jumanne ya Novemba 21 ametoa mtazamo na msimamo wake juu ya matukio ya kisiasa yanayoendelea nchini na mojawapo likiwa ni uhamaji wa Vyama vya siasa kwa wanachama wa vyama husika.

"Hatuwezi kugombana na kuchukiana kwasababu ya Kuhama vyama na wala tusikubali kubaguliwa hivyo, sisi ni Watanzania Kwanza. Ameandika kwenye Twitter, Kwenye mstari mwingine Lowassa ameongeza "Lakini binafsi bado naamini Mabadiliko ya kweli yatatoka nje ya CCM." Moto Ulivyowaka CloudsFM Mikocheni


Post a Comment
Powered by Blogger.