Lupita Nyon'go Awalalamikia WalioEdit Picha Yake Kisa Viwango Vya UremboMshindi wa tuzo ya Oscar kutoka Kenya Lupita Nyongo ametumia ukurasa wake kwenye mtandaao wa Twitter akililalamikia Jarida Grazia la Uingereza lililoamua kuhariri picha yake na kuufanya uso wake kuwa nyororo ili kuifanya kuafikia vigezo vya masharti ya urembo ya Ulaya.

Lupita amepost picha iliowekwa katika jarida hilo la mwezi Novemba pamoja na picha alizopiga ambazo zinaonekana akiwa na nywele ndefu.


Post a Comment
Powered by Blogger.