Kiss Daniel Sio Msanii Wa G-WorldWide Tena, Sababu Ni Label Yake

Mwanamuziki Kiss Daniel wa Nigeria ametangaza mabadiliko ya Uongozi anaofanya nao kazi na rasmi ameipiga chini Label "G-Worldwide"iliyokua ikisimamia kazi zake na badala yake amehamia "FLYBOY I.N.C" ambayo ni ya kwake mwenyewe.

Kiss Daniel amethibitisha hayo kwenye maongezi na "PulseTV" kwa kudai anaamua kuondoka G-Worldwide ili kusogea zaidi kuikuza label yake na taratibu zote zinazohusu muziki wake hazitahusiana na Uongozi wa zamani.

Ngoma ya Kiss Daniel inayofanya poa  kwa sasa ni Yeba, Unaweza Kuicheki hapa:

 
Post a Comment
Powered by Blogger.