Rais Wa Tanzania Aachia Wafungwa HuruLeo ni tarehe 26 mwezi wa 4 ni kumbukumbu ya siku ambayo Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuwa kitu kimoja,
 Kuelekea sherehe za sikukuu ya muungano, Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli aamua kuwaachia huru wafungwa takribani 2,219 ikiwa ni kama sehemu ya maadhimisho ya MIAKA 53 YA MUUNGANO.
Powered by Blogger.