Furaha Ya Iyanya Ni Uwepo Wa Nyimbo Hizi Kwa Mwaka HuuIyanya anajribu kutuonyesha kama yupo "Up To Sumthing" kama alivyowahi kusema kwenye ile ngoma yake ya kwanza kabisa tangu kujiunga na Marevin Record, Baada ya kufanya poa na "Up2sumtin" ambayo ndani yake aliwapa mashavu Don Jazzy na Dr Sid, Iyanya ameachia Albamu yake "Signature" THE EP. Albamu hiyo yenye jumla ya ngoma 8 imeanza kupatikana tangu Machi 30 mwaka huu na kuzifanya idadi ya Albamu za Iyanya kufikia 4.

Unaweza Kudownload Hapa Albamu Nzima.

1.DOWNLOAD: Iyanya - Odoyewu

2.DOWNLOAD: Iyanya – Hold On (Prod. by Don Jazzy)

3: DOWNLOAD: Iyanya - Baby Answer 

4: DOWNLOAD: Iyanya - Not Forgotten Ft. Poe

5:  DOWNLOAD: Iyanya - Celebrate

6:  DOWNLOAD: Iyanya - Nobody Has To Know 

7:  DOWNLOAD: Iyanya - Bow For You

8:  DOWNLOAD: Iyanya ft. Don Jazzy & Dr SID – Up To Something
 
Powered by Blogger.