Claudio Bravo hatacheza tenaMlindalango wa klabu ya Manchester city Claudio Andres Bravo Munoz maarufu kama Claudio Bravo aliyezaliwa nchini Chile tarehe 13.04.1983 mwenye umri wa miaka 34 sasa.
Claudio Bravo aliyesajiliwa na klabu ya Manchester City akitoka klabu ya Barcelona Fc ya spain tarehe 25.08.2016.

Claudio Bravo ameumia wakati wa mechi kati ya Manchester City na Manchester United Alhamisi hii."Bila shaka ni jelaha litakalo muweka nje ya uwanja wiki kadha,"alisema Pep Guardiola.
"Sijui kama atacheza tena msumu huu."

Mchuano huo umemalizika kwa sale ya magoli (0-0).
Powered by Blogger.