Watch: Waje Ft Lira – Mountain (Official Music Video)

                              Image result for Waje Ft Lira – Mountain (Official Music Video)


Msanii wakike kutoka Nigeria, Waje ambaye aliyewahi kufanya colabo na Diamond Platnumz ameachia video mpya ya wimbo kutoka kwenye album ya “Truth” akiwa amemshirikisha msanii kutoka South Africa anaitwa Lira.

Powered by Blogger.