VIDEO; Watch Full Highlights Barcelona Vs Psg (08/03/2017)

Hakika timu ya Barcelona imeonyesha maajabu ambayo hayajawahi kutokea katika historia ya mpira, Timu iliyokuwa imefungwa magoli mengi ugenini katika mchezo wa marudiano kurudisha goli zote na kupita hata idadi ya magoli yao waliyokuwa wamefungwa ugenini, Na hatimaye kufuzu hatua inayofuata.


Powered by Blogger.