Trey Songz - Animal [Official Music Video]

Trey Songz bado anaendelea na mchongo wake wa kudondosha ngoma mpya kuanzia Februari 16 mwaka huu ambapo aliachia Nobody Else But You. Zoezi hili ni endelevu mpaka ifikapo Machi 24 mwaka huu ambapo Trey ataachia rasmi Albamu yake ya "Tremaine".
 Mpaka sasa ni ngoma 4 tumeshazisikia kutoka kwenye Albamu hiyo.
 Jana Machi 16, Trey ameachia video mpya ya wimbo "Animal" unaomfanya Trey Songz kumiliki ngoma mpya tano ndani ya mwezi mmoja.

Icheki Hapa:

Powered by Blogger.