Tazama Video Ya Kipa Victor Valdes Alivyoteleza UwanjaniKipa wa sasa wa middlesbrough Victor Valdes jana usiku aliteleza uwanjani baada ya kurudishiwa mpira na beki wake katika mchezo wao dhidi ya Man United,
Ambapo kuteleza kwake kulimpelekea mchezaji wa Man U beki wa kulia Antonio Valencia  kushinda goli la tatu na mchezo kuisha kwa Man U kushinda 3-1. 
TAZAMA HAPA CHINI VIDEO YAKE ALIYOTELEZA.
Powered by Blogger.