Kutoka Kwenye "Tremaine The Playboy" Trey Songz Ametuonyesha Hii "She Loving It"

Trey Songz anaendelea kuzihesabu ngoma zilizopo kwenye Albamu yake ya 17 itakayoingia sokoni mwishoni mwa mwezi huu (March, 24).
 Akiwa hajaweka wazi idadi ya ngoma zitakazokuwemo kwenye albamu hiyo, Trey Songz alitoa ahadi ya kuachia ngoma mpya kila wiki na kuanzia februari 16 alidondosha "Nobody Else But You zikafuata Playboy, Goes Off na masaa machache yaliyopita tayari mnyamwezi "Trigga" amedondosha video ya ngoma "She Loving It"

Enjoy Nayo Hapa:

 
Unaweza Kuziangalia series ya "remaine The Playboy" kwa kubonyeza hapa
Powered by Blogger.