SERENA WILLIAM KUIKOSA MIAMI OPEN NA KUSHUKA NAFASI YA CHINI

Mchezaji nguli na bingwa wa Tenesi kutoka nchini Marekani Mwanadada Selena William ataikosa michuano ya Miami Open na pia kushuka nafasi ya chini.

Mwanadada huyo mwenye umri wa miaka 35 Bingwa wa muda wote mara ya kwanza alifutwa katika wachezaji waliokua wanashiriki katika michuano ya BNP Paribas Open yanayofanyika nchini India na sasa pia ameondolewa kwenye mashindano ya Miami Open kutokana na majeruhi ya goti yanayomsumbua.
Kutokana na majeruhi hayo yaliyopelekea na kumsababishia kutokushiriki michuano hiyo miwili na pia kumemshusha chini katika nafasi yake ya kwanza na kuchukuliwa na Mwanadada kutoka nchini nchini Ujerumani Mjerumani Angelique  Kerber.

 

Powered by Blogger.