Sakata la Makonda: Rapper Nikki Mbishi Aandika Haya


Baada ya kuvamiwa kwa Kituo cha Redio cha Clouds Fm, imeibuka mijadala mingi, Watanzania wakaijadili kila kona ya nchi.


Katika mijadala hiyo, wapo wanasiasa, watumishi wa umma, waumini wa dini na wanamuziki mbalimbali akiwemo Rapper Nikki Mbishi amefunguka kuwa wanasiasa wanakosa maadili.

“Ndiyo maana siasa imekuwa cheap maana viongozi wenyewe wana-hang out na akina Amber Lulu na Gigy Money” aliandika Nikki Mbishi. 

Powered by Blogger.