Rais Wa Korea Kusini Aondolewa Mamlakani
Bunge la nchini Korea kusini lamuondoa mamlakani mwanamama rais wa taifa hilo PARK GEUN HYE, Inasemekana sababu zilizofanya mpaka bunge kumuondoa ni kashfa yake ya kujipatia pesa kwa njia ya ufisadi.

Hela hizo inasemekana alijipatia toka katika makampuni makubwa makubwa akishirikiana yeye na rafiki yake aitwae CHOI SOON SIL, Kwahiyo rais huyu wa Korea kusini huenda akakabiliwa na mashtaka ya uhalifu kutokana na swala lake la kujipatia hela kwa njia ya ufisadi.
Powered by Blogger.