Picha: Huyu ndiye mpenzi mpya wa rapper French MontanaRapper French Montana wiki hii alikuwa kwenye visiwa vya Hawaii na mpenzi wake ambaye ni mwanamitindo Rosa ambaye awali aliwahi kuwa mpenzi wa Rob Kardashian. 

Hizi ni picha zao.


  

 

 

 

Powered by Blogger.