One The Incredible Ataja Wanaostahili Kuitwa MaMcs Bongo

Msanii One The Incredible akiwa anahojiwa katika kipindi cha TWENZETU siku ya alhamisi ya tarehe 09/03/2017 kinachoruka ndani ya kituo cha radio cha TIMESFM, Alisikia akisema kuwa bongo kuna MaMcs na Rappers. Nikimnukuu maneno yake alisema


"MARAPPER WAKO WENGI BONGO ILA MA MCs WAPO WACHACHE KULINGANA NA MISINGI YA HIP HOP
MADEE ALIKUWA RAPPER ILA KWASASA NASHINDWA KUMUWEKA KUNDI GANI, 
KINGZILLAH NI MC,
ROMA NI MC, 
NIKKI MBISHI NI MC, 
YOUNG DEE KWANGU NI RAPPER JAPO ANAWEZA KUWA MC,
PROFESA JAY NI MC,
MR. BLUE YUPO 50/50,
FID Q NI MC,
JOH MAKINI NAMUWEKA UPANDE WA RAPPER LAKINI NIKKI WAPILI YUPO 50/50"
                                        Hizi ni picha akiwa studio za TimesFm leo mchana.


Powered by Blogger.