Jay Moe Famous - Nisaidie Kushare(Official Music Video)


Baada ya mapokezi mazuri ya hitsong "Pesa Ya Madafu" Jay Moe Famous is Back Again na video ya ngoma yake mpya "Nisaidie Kushare:

Mr T Touch ndio amehusika kwenye Audio huku Director Travellah wa Kwetu Studio akihusika kwenye kichupa kilichofanyika pande za Durban SA.

Powered by Blogger.