NAHODHA WA KLABU YA CHELSEA JOHN TERRY AFUNGA KAZI KWA HILI


Nahodha wa klabu ya Chelsea ya jijini London John George Terry ameamua kufunga kazi kwa kuilinda nyumba yake dhidi ya wezi wa nchini Uingereza.

Nahodha huyo raia wa nchini Uingereza ameamua kuwajili mabaunsa wakulinda nyumbani kwake wakishirikana pamoja na walinzi wa mtaa anaoishi kwa ajili ya kulinda mali zake hiyo inatokana na kutoka kuibiwa vitu vyake vya thamani nyumbani kwake hivi juzi tu ni baada ya kusafiri kwenda nchini Ufaransa katika mitoko yake akiwa na mkewe Toni Terry ndipo kufanyiwa tukio hilo la kuibiwa nyumbani kwake na wezi hao kwa kuziona picha zao kwenye mitandao ya kijamii kuwa hawapo nyumbani kwao ni baada ya John Terry na mkewe kuposti picha hizo katika mitandao ya kijamii wakiwa katika mitoko yao nje ya nchi.


Powered by Blogger.