Mpya Kutoka Kwa Trey Songz, Anakwambia 'Song Goes Off' Ni Sample Ya Teena Marie “Ooo La La La (+video)


 Msanii Trey Songz ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Song Goes Off.” wimbo huu ni sample ya wimbo wa Teena Marie “Ooo La La La,”. na huu wimbo pia upo kwenye album mpya ya Trey Songz, ‘Tremaine The Play boy‘ na ya kwanza toka mwaka 2014 ‘Trigga‘ inatoka March 24, 2017. Katika hii video yupo na mastaa Lance Gross na Terrence J.

Watch..Powered by Blogger.