Mpya Kutoka Kwa Harmonize Inaitwa Niambie

Miezi takribani nane imepita tangu tumsikie muimbaji "Harmonize" kwenye hitsong "Matatizo" ambayo kwa kiasi fulani imeendelea kufanya vizuri kwa kupata airtimes kwenye radio na mitandao mbalimbali. Leo kupitia wasfidotcom Harmonize ameachia mzigo mpya unaojulikana kama "Niambie" .

Unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza hapa:
DOWNLOAD
Powered by Blogger.