MLANDIZI QUEENS YATWAA KOMBE LA LIGI KUU YA WANAWAKE

Ligi kuu ya Wanawake ya nchini Tanzania imemalizika siku ya Ijumaa kwa klabu ya Mlandizi Queens kwa kutwaa kombe hilo.
Klabu hiyo imetwaa kombe hilo kwa kufikisha pointi 15 wakifuatiwa na mshindi wa pili akiwa ni klabu ya JKT Queens kwa pointi 12 na mshindi wa tatu akichukua Marsh Athlete mwenye pointi 7.
Mlandizi Queens wamechukua kombe na tuzo ya mfungaji bora pia kwenda kwao kwa nahodha wake Mwanahamis Omary.
Powered by Blogger.