Mapokezi Ya MB DOG Kwenye Show Ya Crayz Sunday Club71 Yanaonyesha Jinsi Gani Mashabiki Wanamuhitaji

Unazikumbuka Latifah, Mapenzi kitu gani, Sagaprasha, Natamani na hits kibao kutoka kwa makali wa Makopa MB DOG?, Wapenda burudani wenzako kutoka kipande cha Tegeta na maeneo ya jirani wame-enjoy bonge la show kutoka kwa MB DOG wikiendi iliyopita, Mchongo ulipewa nguvu na EaRadio & TV huku DJ OmmyCrayz akikunukisha kwenye Deck na kwenye MIC alisimama mtu mzima Dulla Planet... Hizi ni picha baadhi ya matukio yaliyo-happen 
Hii inakua Show ya kwanza kwa MB DOG tangu kurudi kwake rasmi kwenye game ya Bongoflava, Kwa sas MB DOG ameachia wimbo wake "Uwe Wangu" kama zawadi kwa mashabiki waliom-miss na kuahidi kufanya mambo makubwa mwaka huu...

ANGALIA VIDEO YAKE HAPA:

Powered by Blogger.