#NewVideo Maua Sama - Main Chick


Baada ya kukaa chimbo kwa zaidi ya mwaka 1 sasa hatimaye mtoto mzuri Maua Sama amekuja na hii "Main Chick"  wimbo fulani hivi mtamu kwa kusikiliza yaani kama unakua kwenye mahusiano yanayokufanya uwe na furaha huu wimbo unakuhusu kinomanoma...
Kama haujapata muda wa kuusikiliza unaweza kucheza na play button hapa chini.Powered by Blogger.