Kutoka Kwa Trey Songz Tena Hii Ni Ya Kuweka Kwenye Playlist Yako Mwezi Huu

Kutoka kwenye Albam yake mpya "Tremaine" ambayo anatarajia kuiachia tarehe  24 mwezi huu mnyamwezi Trey Songz anaendelea kuzidondosha ngoma ambazo zitapatikana kwenye mzigo huo, Alianza na "Nobody Else But You" ikaja "PlayBoy" na hii nyingine inaitwa "Goes Off'" ambayo imeanza kusambaa siku ya jana kama alivyoahidi kuachia ngoma mpya kila siku ya Alhamisi.

Enjoy Nayo Hapa

Ukiachana na kudondosha ngoma mpya kila wiki pia Triga ameweka utaratibu wa kuachia Episode moja kila wiki kutoka kwenye Series yake "The Playboy" unaweza kuicheki hapa:

Powered by Blogger.