Kampuni Ya Kusaidia Mawazo Ya Biashara Yafunguliwa Na Jayz
Msanii wa nchini Marekani Jay Z ameamua kufungua kampuni ya kusaidia kampuni ndogo kuanza kazi na hatimaye kusimama zenyewe kama zenyewe, Pia Kampuni hiyo imepewa jina la ARRIVE.

Arrive itafanya kazi na ROC NATION ambayo pia ni lebo ya msanii  Jay Z pamoja na PRIMARY VENTURE PARTNERS na GLASS BRIDGE ASSET MANAGEMENT.
Dhumuni la kampuni hii ni kusaidia biashara na mawazo mazuri ya biashara kutekelezeka katika maisha. 
Vile vile hii kampuni imemuongezea sifa Jay Z kwa kuwa itasaidia watu kuanzisha biashara zao na kufanikisha ndoto zao katika maisha.
Powered by Blogger.