Jinsi Cassper Nyovest Alivyompoteza AKA Kwa Dakika 20 Tu.


Mapema  siku ya jana kwenye mitandao na blogs mbalimbali maada kubwa ilikuwa #TitoMboweni ngoma mpya ya rapa Cassper Nyovest raia wa Afrika Kusini,
 Ni ngoma mabayo Cassper ameiachia kwa ajili ya kuvunja ukimya wa miezi takribani minne tangu alipoachia "Two Legit"
Unaambiwa ni kama mashabiki walikua wakimsubiri mkali wao huyo kudondosha mzigo mpya, kwani dakika 20 tu baada ya mzigo kupatikana hewani tayari ulikua umeishusha "The World Is Yours" ambayo imekaa namba moja kwenye orodha ya nyimbo zinzofanya vizuri kwenye mtandao wa itunes pande za South Afrika...A post shared by Refiloe Phoolo πŸ‡ΏπŸ‡¦ (@casspernyovest) on
Cassper Nyovest anaonekana kufurahishwa zaidi na mapenzi anayopata kutoka kwa mashabiki kwa kumfanya kuwa namba moja.
A post shared by Refiloe Phoolo πŸ‡ΏπŸ‡¦ (@casspernyovest) on

Kama haujaipata "Tito Mboweni" ipo hapa 

DOWNLOAD

Powered by Blogger.