Isikupite Hii Ya Hamorapa Kuhusu Diamond Platnumz Na Alikiba

Jana kwenye kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV mwanamuziki Diamond Platnumz alipata fursa ya kufanya mahojiano ya moja kwa moja na watangazaji wa kipindi hicho.. Miongoni mwa vitu Diamond aliongea ni kuhusu unyonywaji wa kazi za wasanii ambao umempelekea kuanzisha tovuti ya uuzaji wa muziki (wasafi.com), Diamond alienda mbali zaidi na kudai hana tatizo na Kiba kama mashabiki wanavyoikuza beef ya wakali hao wa Bongoflava na angependa muziki wa Alikiba pia uuzwe kwenye tovuti hiyo ambayo imekua maarufu kwa muda mfupi sana.
  Baadae kwenye ukurasa wa Instagram ya Alikiba ziliwekwa post mbili zilizomuonyesha Alikiba kwenda tofauti moja kwa moja na kauli za Diamond Platnumz, Kwanza alianza kwa kupost picha na kutupia Lyrics za wimbo wa Bilnass na MwanaFA - Mazoea..


King Kiba hakuishia hapo alichimba ndani zaidi kwa kupost video ya mtoto aliekuwa akiongea maneno ya ushawishi watu waache kufanya vitu visivyokua na faida kwao.


A post shared by alikiba (@officialalikiba) on

Sasa katika hali isiyokua ya kawaida rapa Chipukizi "HamorRapa" ambae amekua akisumbua mitandaoni kwa muda ambae kihalisia ni TeaMKiba akatuma kibomu kwenda kwa Diamond Platnumz kama kinavyosomeka hapa chini:
Hata hivyo baada ya muda Prodyuza mkongwe kunako Industry ya Bongoflava P-funk Majani amethibitisha kufanyika udukuzi kwenye akaunti ya instagram ya Harmorapa, Inaonyesha ni Hackers wameamua kumfanyia uhuni Harmorapa na kutengeneza post hiyo.. Soma hapa chini alichokisema Harmorapa kuhusu tukio hilo.

Kwa sasa Harmorapa ndiye mfalme wa Youtube Bongoflevani kwani video yake "Kiboko Ya Mabishoo" ndiyo inaongoza kwa kungaliwa zaidi mtandaoni humo..
Kama Haujapata fursa ya kuiona Icheki hapa:

Powered by Blogger.