Ibrahimovic Aambiwa Utajiri Upo La Galaxy
Kutoka katika Uongozi wa klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani umedai kwamba kwa sasa upo tayari kumnunua mshambuliaji wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic kwa dau kubwa ambalo  litamfanya awe ndio mchezaji ghali zaidi wa kulipwa katika Ligi Kuu ya soka ya nchini Marekani. 
Mchezaji Ibrahimovic alijiunga na Manchester United kwa mkataba wa mwaka mmoja msimu mfupi uliopita akitoke Psg.
Lakini pia maamuzi yapo kwake mwenyewe mchezjai Ibrahimovich kuchagua kuondoka au kubakia endapo ManU watahitaji kufanya mazungumzamo tena na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka kwa 35 kwasasa.
Mpaka sasa Ibrahimovic aimefunga mabao 26 United katika msimu huu
Powered by Blogger.